Ajira kwa wanasheria?

Resources ndio tatizo

Nchi yetu ni masikini, wakati wanasheria wakilalamikia ajira zitoke za kutosha na wakihitajika huko JWTZ nako inatakiwa waajiriwe wanajeshi kwa idadi ya kutosha sababu wanajeshi wengi wanastaafu kila mwaka kwa batch kubwa kubwa
 
.......

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…