Ajira lukuki, heko ccm na serikali yake!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Kampuni HOPE HOLDINGS ambayo inaendesha biashara mbalimbali katika Jiji la Dar es salaam kama vile Mgahawa wa Papparoti, Super Market maarufu ya kuuza mazulia iitwayo Amal Carperts Mlimani City na Maduka ya FLO, Bottega Verde, Flormar, Skechers, Defacto na LC Waikiki, imetangaza nafasi za ajira kwa Vijana mbalimbali wa Kitanzania upande wa Cashier, Accountants na Security (Walinzi)

Kampuni hiyo ambayo mwezi uliopita ilitangaza nafasi nyingine za ajira 450 za Maafisa mauzo, leo imetangaza nafasi nyingine za ajira ikitafuta Wanawake pekee wa kujaza nafasi za ACCOUNTANTS na CASHIERS katika Maduka yake mbalimbali Jijini Dar es salaam ambapo sifa zinazohitajika kwa upande wa Accountants na Cashiers ni uzoefu wa miaka miwili kwenye kitengo cha fedha au upande wa Cashier (B.A Finance, Accountancy, Commerce or any related field)

Taarifa ya HOPE HOLDINGS imesema Wahusika wote wanatakiwa kwenda kwenye usaili na CV zao pamoja na kopi za vyeti vyao ambapo Interviews zitafanyika kesho Jumamosi, Jumapili na Jumatatu ( tarehe 8, 9 na 10 June 2024) Jengo la Morocco Square lililopo pembeni ya mataa ya Morocco Kinondoni gorofa ya pili kuanzia saa tano asubuhi hadi saa tisa mchana na yeyote mwenye maswali zaidi anaweza kupiga 0685-337-025.

Kwa upande mwingine, HOPE HOLDINGS wametangaza nafasi za ajira upande wa SECURITY ambapo wanahitajika Walinzi wa jinsia zote wa kuanzia umri wa miaka 26 hadi 45 wakiwa na sifa mbalimbali ikiwemo elimu ya FORM IV au FORM VI, wenye vitambulisho vya NIDA, vyeti vya JKT, computer skills na wanaoelewa lugha ya kiingereza ambapo interview yao itafanyika siku moja tu ya kesho Jumamosi June 8 2024 kuanzia saa nne asubuhi hadi saa kumi jioni.
 
Ma cashier, walinzi, sales persons, accountants 450.
Tutumie akili kidogo.
Kiwanda kinacho ajiri watu 400 ukiangalia vizuri, Sasa hii outlet watu 450.
Wait and see msilete uchawa kabla hakujakuchwa.
 
Huu mtihani mkubwa sana mungu niepushe na unafiki
 
Kampuni HOPE HOLDINGS ambayo inaendesha biashara mbalimbali katika Jiji la Dar es salaam kama vile Mgahawa wa Papparoti, Super Market maarufu ya kuuza mazulia iitwayo Amal Carperts Mlimani City na Maduka ya FLO, Bottega Verde, Flormar, Skechers, Defacto na LC Waikiki, imetangaza nafasi za ajira kwa Vijana mbalimbali wa Kitanzania upande wa Cashier, Accountants na Security (Walinzi)

Kampuni hiyo ambayo mwezi uliopita ilitangaza nafasi nyingine za ajira 450 za Maafisa mauzo, leo imetangaza nafasi nyingine za ajira ikitafuta Wanawake pekee wa kujaza nafasi za ACCOUNTANTS na CASHIERS katika Maduka yake mbalimbali Jijini Dar es salaam ambapo sifa zinazohitajika kwa upande wa Accountants na Cashiers ni uzoefu wa miaka miwili kwenye kitengo cha fedha au upande wa Cashier (B.A Finance, Accountancy, Commerce or any related field)

Taarifa ya HOPE HOLDINGS imesema Wahusika wote wanatakiwa kwenda kwenye usaili na CV zao pamoja na kopi za vyeti vyao ambapo Interviews zitafanyika kesho Jumamosi, Jumapili na Jumatatu ( tarehe 8, 9 na 10 June 2024) Jengo la Morocco Square lililopo pembeni ya mataa ya Morocco Kinondoni gorofa ya pili kuanzia saa tano asubuhi hadi saa tisa mchana na yeyote mwenye maswali zaidi anaweza kupiga 0685-337-025.

Kwa upande mwingine, HOPE HOLDINGS wametangaza nafasi za ajira upande wa SECURITY ambapo wanahitajika Walinzi wa jinsia zote wa kuanzia umri wa miaka 26 hadi 45 wakiwa na sifa mbalimbali ikiwemo elimu ya FORM IV au FORM VI, wenye vitambulisho vya NIDA, vyeti vya JKT, computer skills na wanaoelewa lugha ya kiingereza ambapo interview yao itafanyika siku moja tu ya kesho Jumamosi June 8 2024 kuanzia saa nne asubuhi hadi saa kumi jioni.
inaonyesha una matatizo huko nyuma
 
Uchawa ukizidi... Lazima uonekane mpumbavu ☹️☹️
 
Aisee kumbe kuna watu wana kiharusi cha ubongo nchi hii
 
That is very true,
mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji yaliyopo, yametengenezwa na kujengwa na Serikali Sikivu sana ya CCM ....

kongole nyingi sana kwa HOPE HOLDINGS kwa kutumia fursa ya mazingira mazuri ya uwekezaji na biashara na kutengeneza fursa za ajira za kutosha kwa vijana wa kiTanzania....

Kidumu Chama Cha Mapinduzi 🐒
 
Back
Top Bottom