Ajira mpya 2013/2014

Realbest

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
812
Reaction score
300
Jaman kwa habari znazo zidi kuvuja inasemekana kuwa ajira mwaka huu itachelewa kidogo hadi mwezi Wa nne, Je kuna ukwel wowote wadau?
 
Umesikia wapi?............muulize vizuri huyo bana alafu tuletee habari kamili
 
nalfanyia utafiti wa kina mkubwa
 
Sio kweli ndg ajira zitatoka mapema mwakani...lakini zitatoka kwa awamu(intake)
watu wa BAED wana advantage
 
Ajira mwaka hakuna, maaana serikali haina pesa. Nyie si mmeckia hata mwezi huu serikali imesua sua kuwalipa watumishi mishahara? Endeleeni kukomaa vijiweni au kupaka rangi mitaaani.
 
Hlo swala nmelisikia mkubwa na ndomaana nkaiweka mada hii, Kwamba mwaka huu huenda ukawa hstoria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…