Ajira Mpya 2100 TRA- 12 March, 2022

Ajira Mpya 2100 TRA- 12 March, 2022

Learner41

Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
22
Reaction score
65
CFAABCB5-E52B-4B01-A9F3-704A6E6200AE.jpeg
1BEF63E3-344A-482D-A6BD-7FBB96E38D6E.png
Habari waheshimiwa, nimeona kwenye gazeti la jana la mwananchi kuwa Rais ametoa ajira nyingine 2100 zaTRA. Nimeambatanisha vielelezo ikiwa ni pamoja na screenshot kutoka kwenye page ya millardayo post za jana gazeti la tarehe 12/02/2022.
 
Hizi taarifa ni za kweli TRA wanaupungufu wa wafanyakazi na uhitaji wao ni jumla ya wafanyakazi 3100. Tayari wameanza hao 1100. Ila mwezi wa 4 au 5 watatoa tangazo tena la wafanyakazi 1000 kwa awamu au watatoa zote 2100.

Vipi kuhusu hawa wanaofanya interview kwa sasa ? Zilikuwa nafasi ngapi mkuu?
 
Hakuna kitu Kaka Lima Kama unalima fanya chochote Hawa wajinga wamenipotezea muda wangu
 
Hizi taarifa ni za kweli TRA wanaupungufu wa wafanyakazi na uhitaji wao ni jumla ya wafanyakazi 3100. Tayari wameanza hao 1100. Ila mwezi wa 4 au 5 watatoa tangazo tena la wafanyakazi 1000 kwa awamu au watatoa zote 2100.
1000 na kitu.
 
Soma vizuri,ni bajeti ya 22-23, means hizo ajira mpya zitatangazwa kuanzia mwezi July huko.
 
Mkuu swala la budjet kuanza mwezi wa 7 2022 ,mwaka mpya wa fedha wa serikali halihusiani na mchakato kuanza hata kesho maana kibali kimeshatoka hivyo muda wowote wanaanza ila taasisi husika kifedha lazima watu wanze kazi kuanzia mwaka huo wa fedha.
 
Hizi taarifa ni za kweli TRA wanaupungufu wa wafanyakazi na uhitaji wao ni jumla ya wafanyakazi 3100. Tayari wameanza hao 1100. Ila mwezi wa 4 au 5 watatoa tangazo tena la wafanyakazi 1000 kwa awamu au watatoa zote 2100.
Hakuna tangazo tena, watachukuliwa wa kwenye database kwa watakaofanya oral hivi karibuni
 
Back
Top Bottom