A Anonymous Guest Feb 19, 2026 #1 Ajira mpya Afya Makambako TC 2025 hatujapewa pesa ya kujikimu hadi Februari hii 2026, sasa na hao watu wa mikopo wanatusumbua sana.
Ajira mpya Afya Makambako TC 2025 hatujapewa pesa ya kujikimu hadi Februari hii 2026, sasa na hao watu wa mikopo wanatusumbua sana.
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 7,009 Reaction score 25,406 Feb 20, 2026 #2 Kwa sasa Hii ni mbinu mojawapo ya Utapeli wa Serikali ya CCM. Na kwa sababu hakuna mtu wa kuwawajibisha, hiyo hela hamtaipata milele
Kwa sasa Hii ni mbinu mojawapo ya Utapeli wa Serikali ya CCM. Na kwa sababu hakuna mtu wa kuwawajibisha, hiyo hela hamtaipata milele
Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 2,536 Reaction score 7,194 Mar 4, 2026 #3 Makubwa sasa wanategemea mtaishije
Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 2,536 Reaction score 7,194 Mar 4, 2026 #4 Masai wa Town said: Kwa sasa Hii ni mbinu mojawapo ya Utapeli wa Serikali ya CCM. Na kwa sababu hakuna mtu wa kuwawajibisha, hiyo hela hamtaipata milele Click to expand... Sikilizeni ushauri huu
Masai wa Town said: Kwa sasa Hii ni mbinu mojawapo ya Utapeli wa Serikali ya CCM. Na kwa sababu hakuna mtu wa kuwawajibisha, hiyo hela hamtaipata milele Click to expand... Sikilizeni ushauri huu
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 6,788 Reaction score 16,227 Mar 4, 2026 #5 acheni kazi.
Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 2,536 Reaction score 7,194 Mar 4, 2026 #6 Mwizukulu mgikuru said: acheni kazi. Click to expand... 🙂🙂