Jamani na sisi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa tulioajiriwa mwezi wa tisa 2025 tukaanza kazi Novemba hatujalipwa pesa ya kujikimu had leo hii, tunafuatilia sana lakini wapiii.
Yaani tunatamani watuangalie kwa jicho la tatu kwa sababu hali sio nzuri.