A
Anonymous
Guest
Ajira mpya kada ya afya halmashauri nyingi hatujapokea fedha za kujikimu toka November 2024.
Tunaishi mazingira magumu kutokana na kukosa fedha hizo za kuanzia maisha.
Tumetumia gharama kubwa sana kuanzia kwenye usaili, na mchakato mzima wa kuripoti kazini.
Tunaomba serikali ifanyie kazi hili swala maana linafanya utendaji kazi wetu kuwa mdogo kulingana na mazingira yetu ya kazi.
Pia soma ~ Kada ya Afya - Halmashauri ya Kilosa hatujalipwa fedha za kujikimu, tumeambiwa hadi hali ya fedha itakapotengemaa