Tendeni haki
Member
- Sep 5, 2024
- 67
- 114
AJira nyingi kwa kada za afya,walimu,nk zimetangazwa Leo.
Kwa wenye changamoto katika kuomba
wasiliana na 0623446608 usaidiwe personally
πππππ au sioKwa wenye changamoto katika kuomba
wasiliana na 0623446608 usaidiwe personally
Sensa ya kuelekea oct29 ama?Ndugu mwl. Na mtaalamu afya kunaofferhuku kuelekea oct29.AJira nyingi kwa kada za afya,walimu,nk zimetangazwa Leo.
Kwa wenye changamoto katika kuomba
wasiliana na 0623446608 usaidiwe personally
HelaSema hapa unasaidia kivipi, wengine hawana uwezo wa kupiga simu π
Ndiyo kusema wewe ni Afisa wa Utumishi, au Tamisemi? Halafu huu moyo wa kusaidia watu usio wajua, umezaliwa nao au umekuja tu wenyewe ulipokuwa mtu mzima?AJira nyingi kwa kada za afya,walimu,nk zimetangazwa Leo.
Kwa wenye changamoto katika kuomba
wasiliana na 0623446608 usaidiwe personally
π€£π€£Mafwele una mbinu
Jana ulokuja ukitaka tu login Jamii forums kupitia google account ili utukamate utuuwe.
Leo umekuja na mbinu ya kugawa ajira Kwa vijana
Kesho Mafwele atakuja anasema lilaa Mwana jamii forums alipiga stamps pesa laki ya kulaπ€£π€£
Mbona hata kulog in inakataaAJira nyingi kwa kada za afya,walimu,nk zimetangazwa Leo.
Kwa wenye changamoto katika kuomba
wasiliana na 0623446608 usaidiwe personally
π€£π€£π€£π€£Mafwele una mbinu
Jana ulokuja ukitaka tu login Jamii forums kupitia google account ili utukamate utuuwe.
Leo umekuja na mbinu ya kugawa ajira Kwa vijana
Faza hiyo namba unaikumbuka lakini ππ ?πππππ au sio
ππππ ile inaishia 88Faza hiyo namba unaikumbuka lakini ππ ?