A
PM ya nini?Wote walipwe bila ubaguzi.Nicheki PM tuone tuna solve vipi!
Una wivu hutaki alipwe?PM ya nini?Wote walipwe bila ubaguzi.
NB:Mleta uzi nakuonya.Usimfuate PM huyu anaenda kukuchoma mubashar.
Kama wanarusha live sawa ila kama recoded ni ngumuKama wewe ni mtangazaji wao,jitoe ufahamu tu.Unapotangaza taarifa ya habari uisome/uchanganye na hiyo watazamaji/wasikilizaji wenu wajue.Kama noma na iwe noma!
NB:Try it at your own risk!
Anataka amchome mwenziePM ya nini?Wote walipwe bila ubaguzi.
NB:Mleta uzi nakuonya.Usimfuate PM huyu anaenda kukuchoma mubashar.
Una wivu hutaki alipwe?
Kama hatoelewa,sina cha kumsaidia.Una wivu hutaki alipwe?
Let the chap poke the nose and face the consequences.Shauri yake.Anataka amchome mwenzie
KweliPia, kuna muda unakuta Mtumishi anatakiwa kulipwa a half perdiem kwa kazi za ndani ya Mkoa lakini wanalipa elfu 20 na ukihoji kwa viongozi unaanza kupigwa zengwe.
Viongozi wenyewe wanajilipa perdiem zao full kama inavyotakiwa.
KweliPia, posho za watumishi hazilipwi kwa wakati mabosi wakiulizwa wanasema posho ni hisani. Wakati watu wanafanya kazi zaidi ya muda wa kazi halafu hizo posho kutoka sasa ndio tunaambiwa ni Hisani. Tunafanya kazi kuanzia Saa 1:30 Asubuhi hasi saa 11:00 Jioni halafu posho hazitoki ndo tunaambiwa ni hisani kwa nini?
KweliAjira Mpya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) hatujalipwa hela ya kujikimu, tukiuliza wanatuamia watatulipa, lakini kwa experience iliyopo posho ya kujikimu Watu hawalipwi hadi Mwaka unapita.
Kumbe nielezee kwa kina PM!
Leo umetoka kufanya test ya kweli na au si kweli? Unakera unajua😤Kweli