Utakoma kwakweli 😁Mm nimesomea Film and TV Production, na nimefanya usaili kadhaa za TBC Ila sijabahatika kupata kazi hapo na nyngn nazisikilizia hapa.
Sasa habari kama hizi nikizisikia, nachoka 😂
Kazi ipo 😂Utakoma kwakweli 😁
Feelings you knowLeo umetoka kufanya test ya kweli na au si kweli? Unakera unajua😤
Kua mpoleMm nimesomea Film and TV Production, na nimefanya usaili kadhaa za TBC Ila sijabahatika kupata kazi hapo na nyngn nazisikilizia hapa.
Sasa habari kama hizi nikizisikia, nachoka 😂
Tulikubaliana kupata placement ni mpaka sukari na presha vihusikeKazi ipo 😂
Naanza kuuona moto kabla cjapata hiyo kazi 😂
Pole sanaFeelings you know
Sawa mkuuKua mpole
Kila mahali n stress.Tulikubaliana kupata placement ni mpaka sukari na presha vihusike
Bed timePole sana
Kua mpole boss hanuniwiKila mahali n stress.
Kuomba kazi stress
Kufanya usaili stress
Kusubiri placement stress
Kupata kazi stress
Ila bora stress za ukiwa umepata kazi mana tayar mwisho wa mwezi uhakika
Kwenye usaili ni hatari na nusu not selected ina umiza moyo,nafsi mpaka akili.Kila mahali n stress.
Kuomba kazi stress
Kufanya usaili stress
Kusubiri placement stress
Kupata kazi stress
Ila bora stress za ukiwa umepata kazi mana tayar mwisho wa mwezi uhakika
Kusubiri placement unakuwa kama umeambukizwa HIV kwa jinsi unavyohaha😤Kila mahali n stress.
Kuomba kazi stress
Kufanya usaili stress
Kusubiri placement stress
Kupata kazi stress
Ila bora stress za ukiwa umepata kazi mana tayar mwisho wa mwezi uhakika
Kua mpole ndio ukubwa huoKwenye usaili ni hatari na nusu not selected ina umiza moyo,nafsi mpaka akili.
MmmhKusubiri placement unakuwa kama umeambukizwa HIV kwa jinsi unavyohaha😤
Nakubali mkuuKua mpole boss hanuniwi
Tuendelee kupambanaKwenye usaili ni hatari na nusu not selected ina umiza moyo,nafsi mpaka akili.
Mwisho wa siku unapigwa za uso 😂Kusubiri placement unakuwa kama umeambukizwa HIV kwa jinsi unavyohaha😤
Km zamu yako Itafika utapata ni suala la muda tu kila mtu atapataNakubali mkuu
Ndo yule Grace?Tulia, mama yenu amepata mtoto yupo kwenye uzazi sasa
Hapo inabidi Meneja Rasilimali Watu ajitafakari. La sivyo, atatumbuliwaAjira Mpya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) hatujalipwa hela ya kujikimu, tukiuliza wanatuamia watatulipa, lakini kwa experience iliyopo posho ya kujikimu Watu hawalipwi hadi Mwaka unapita.
Pia, posho za watumishi hazilipwi kwa wakati mabosi wakiulizwa wanasema posho ni hisani. Wakati watu wanafanya kazi zaidi ya muda wa kazi halafu hizo posho kutoka sasa ndio tunaambiwa ni Hisani. Tunafanya kazi kuanzia Saa 1:30 Asubuhi hasi saa 11:00 Jioni halafu posho hazitoki ndo tunaambiwa ni hisani kwa nini?
Pia, kuna muda unakuta Mtumishi anatakiwa kulipwa a half perdiem kwa kazi za ndani ya Mkoa lakini wanalipa elfu 20 na ukihoji kwa viongozi unaanza kupigwa zengwe.
Viongozi wenyewe wanajilipa perdiem zao full kama inavyotakiwa.