KERO Ajira Mpya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) hatujalipwa hela ya kujikimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wewe ni kirusi unatakiwa ufukuzwe kazi
 
WEWE Angalia Kwenye Kanafasi Kako Kuna Vitu Gani Ambavyo Unaweza Kwapua, Ukauza,Na Kuweza Kujilipa Vitu Vidogo Vidogo Kama Hivyo..
 
Kazi na UTu ,Mitano Tena.
 
Mtakula propaganda mnazotutengeneza na maujinga ujinga ya CCM mnayotutangaziaga
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…