Ajira mpya: Ushauri wa kuacha Kazi

Fanya kazi mkuu utumidhi wa umma una faida nyingi kuliko hasara, fanya kazi huku ukikua kiakili usijekujilaumu baadar
 
Wewe Inaonesha Ushakubuhu na life tight la kitaa na umeli manage,
Hivyo Mtu labda akushauri kwa experience na faida ila sio Risk.

Inaonesha pia unaweza ku force mambo,
Sasa force kwa pesa upate uhamisho uende mjini na isitoshe umeoa, possibly kwa ndoa, toa mpunga mzuri as long unajua ukifika kule unaurudisha chap...
 
hujathibitishwa kazini upewe hela yote hiyo?, pia take home yako huwezi kukopeshwa 34m
 
Ushauri wangu unaweza kua very negative but utaamua mwenyewe.
Kama biashara ipo hapo town, jiwekeze hapo hapo fungua biashara yako.
Kuhusu kwenda dar, we nenda sana tu. Kuwa mtoro kazini. Uzuri serikali mpka wakufukuze ujue umeyakoroga to the maximum.
Sasa hv kabla hawajakuzoea sana, bora ndo uanze huo utoro uliokubuhu ili wakukue tu kuwa wewe ni mtoro wakuzoee. Maadam unazijua struggle za kitaa hata wakikupiga chini hautashindwa kusurvive.
Mimi nlipata kazi wakati niko najiendeleza kielimu.
Nmesoma mpaka nkamaliza kwa vurugu hvo hvo. Wiki moja kazini, wiki moja niko mkoani napiga skuli. Walilalamika mwishoe wakazoea.
Barua kibao lakn wala sijali. Baadae wakanitema (haikua serikali), bit at that point wananikataa, nlikua nshamaliza shule na nshasettle na familia mkoa mwingine kabsa.
Uoga wako ndo unaskini wako.
 
Una umri gani kijana ?
 
Usivuruge hiyo kazi,Mimi nilikuwa huko nikaacha kipindi Cha Magu natamani nirudi.Kwa sasa Niko private,kama hutajali tuingie ubia.Mimi niwe nanunua mzigo nautuma kwako tuangalie na mishe zingine.Uaminifu kitu muhimu sana.Mizigo siku hizi inatumwa Kwa magari hadi mkoani wewe unachukulia hapo.Kama utakuwa na opinion kama yangu nipm namba tuongee Kwa undani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…