Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HABARI MIMI SIJAWAHI KUWEKA POST JAMII SASA NASHINDWA PA KUWEKA ADI ITOKEE NA ISOMWE NA WOTE TAFHADHALI NISAIDIENI KULIPELEKA HIli swali langu PANAPOHUSIKA.
Habari wadau!
Mimi ninashida nimeona niilete hapa nanyi mnisaidie kwakuwa najua watu wengi wanapita Jamii hivyo nitapata ufumbuzi haraka.Nimeajiriwa na Kampuni moja inayojihusisha na BIMA "Broker".Nilikuwa moja wa waanzilishi na hivi sasa inamwaka na inafanya vizuri tu katika biasha.Nina mkataba ambao haujaeleza ni wa muda gani hivyo hilo limenipelekea kuhisi labda hiyo ndiyo "permanent contract"Tatizo ni kwamba juzi Bosi wangu ametuambia anafunga biashara kwakuwa inampa "Stress" na kutokana na ukweli kwamba adi sasa ajapata "leseni" hivyo anafunga na akifanikiwa kuipata leseni basi ataiuza kampuni yake.Kwa hivyo kuanzia sasa sisi tutafute kazi mahala pengine na kwamba he will provide a one month compensation package.
Wadau swali langu ni je haki imetendeka hapo?Huwa inakuwaje kama mwajiri atavunja mkataba wa mfanyakazi?Ananiambia atanipa mshahara wa mwezi moja lakini Damages alizo sababisha ni kubwa kuliko hiyo pesa atakayonipa.Naombeni Ushauri wenu.
hakuna kazi mpya kila siku huwa napita utumishi .com
Namimi sizungumzii psm bali ni psrs mkuuInaonekana bado inakuchanganya. Ofisi ya Raisi Menejiment ya Utumishi wa Uma, commonly known as Utumishi, ni wizara na sio Sekretariate ya Ajira yaani Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Wadau wengi pamoja na wewe wameku wakichanganya kwa sababu PSRS hawakuwa na Website hivyo matangazo yao yote yamekuwa yakipitia Utumishi, lakini sasa wamezindua tovuti yao rasmi. Go through PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS na sio Public Service Management kama ilivyokuwa mwanzo.