Ajira mpya za Walimu 2014/2015

Status
Not open for further replies.

asante mama salma
 
duuh humu sometime acheni uongo mana too much yani adi mna edit matangazo ya mwaka jana.
 
Acha kuwavunja moyo, vijana mapema april ajira zitatoka mcchoke kuwa na subira.
 
Pinda amesema Leo akiwa Mbeya kuwa walimu elf thelathin na sita na kidogo wataajiriwa
 
tatizo hasemi ni lini hasa hizo ajira zaja
 
jamani post za ualimu bado tu au................. duuuuuuuuuu njaa mtaani, mwenye uhakika wanatoa lini anijuze tafadhali
 
Atakaypangwa mkoa wa kigoma anitafte kwa 0764616353
 
ndo maana mimi nilikataaga kusoma ma programme ya kikuda mwalimu ndo tajiri wa kijijini hakuna changamoto, hakuna wa kumuangilia la mtendaji wa kijiji ubongo unalala yaani ukishatoka huko chimbo(kijijini) unaonekana wa kuja mjini. Ki ukweli ualimu ni taaluma ya kiboya sana bora haya mambo ya ardhi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…