Ajira mpya za walimu 2022

Ajira mpya za walimu 2022

Afage

Member
Joined
Sep 12, 2021
Posts
46
Reaction score
66
Waraka wa wazi kwa Waziri wa Tamisemi.

Kwa kuwa wizara yako ndo inahusika kupanga majina ya walimu vituoni, moja kwa kwa moja sisi kama wadau wa elimu tunaomba mtoe miongozo kwa wahitimu watakaopewa vipaumbele ili kijana anayeishi kijijini asisumbuke kwenda mjini kuhangaikia application na ihali hapati kitu.

Kumbukeni hata nauli vijana hawana
 
1. uwe unatokea tanga
2. uwe unatikea karagwe
3. uwe na mdau uliyempenyeza 1milioni, na utaongezea milioni ukipata. usipomalizia hupati check.

4. wazee waliozaliwa 1985 kurudi nyuma
5. phy, math na it
6. kubahatisha hawavuki 342


over

over

over
 
Walimu graduates mnatia huruma sana..mnalilalia sana no wonder hamthaminiwi..mnajishusha mno..

#MaendeleoHayanaChama
 
1. uwe unatokea tanga
2. uwe unatikea karagwe
3. uwe na mdau uliyempenyeza 1milioni, na utaongezea milioni ukipata. usipomalizia hupati check.

4. wazee waliozaliwa 1985 kurudi nyuma
5. phy, math na it
6. kubahatisha hawavuki 342


over

over

over
Mtu aliyezaliwa 1985 tayari keshajuwa mzee? Duh!
 
Back
Top Bottom