ajira mpya za walimu awamu ya pili 2013/2014

Kv-london

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2,877
Reaction score
5,022
Jaman wapendwa wana jf nlikuwa naulizia kwa anayefahamu kuhusu ajira mpya za walimu kwa wale tuliokosa post kwa awamu ya kwanza je serekal inasemaje?

naomba mwenye ufahamu atujuze kuhusu hilo
 
Mwalimu kwanini usitafute tempo ufundishe wakati unasubiri hizo ajira?
tamisemi wamekaa kimya hakuna taarifa yoyote....
 
ni kweli wakati unasubiri au kuhangaikia endelea na shughuli zingine
 
pole kwa kukosa ajira nenda kwa mkuu Wako wa Chuo uliko Malizia uone anasemaje make nao huwa wanapeleka majina kwa walio sahahulika au nenda tamisemi Dodoma au Dar upate uhakika kamili kuliko kukaa jf aitakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…