Ajira mpya za walimu awamu ya pili hizi hapa

Kama Umepangwa Serengeti Nitafute Nikupe Deal
 
Wana jamiiforum naomba mnisaidie kwa anayejua majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya cheti yanatoka lini.

Majina ya wale wanaojiunga na kidato cha tano mwaka huu yalichelewa sana. Kufanya kazi kwa mazoea kunapelekea mambo mengi kutofanyika kwa wakati.

Hivyo mianya hiyo ya viporo vya kazi kutumika na wanasisa kujinadi kwenye majukwaa kwa kuahidi kuyafanyia kazi mapungufu ya idara husika. tusubili na hili la kuwachelewesha watoto litaongelewa vipi kwenye majukwaa.
 
yashatoka kagua kuna post yameandikwa
 
Fungua hapa chini uone majina ya walimu waliokosa vituo vya kazi hapo awali lakini sasa wamekumbukwa na serikali

Save Societies: AJIRA MPYA ZA WALIMU LEO TAR.23/6 KWA WALIOKOSA VITUO VYA KAZI AWALI
 
Walioitwa mara ya kwanza hawajalipwa mpk leo
 
Link yenyewe yenye majina haifunguki hata moja...balaa.... Aliyedownload please attach PDF ya Stashahada.... My appreciation.
 
Link yenyewe yenye majina haifunguki hata moja...balaa.... Aliyedownload please attach PDF ya Stashahada.... My appreciation.

Majina yalikuwepo ila wengi pia wameachwa kwa kigezo cha umri na kukosa vigezo. Kuripoti tar 25 hadi 30 mwezi huu wa sita na nje ya hapo hupokelewi. Ingawa kuna jamaa zangu wengi wameachwa na mimi pia nikiwepo pamoja na kuwa na sifa zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…