Ajira mpya za walimu awamu ya pili hizi hapa

Yan nmesubr had nmechoka toka mwaka juzi jaman me na apply 2 c pat chuo au mpaka wapew vyakula wao ------- wa nacte
 
Majina yalikuwepo ila wengi pia wameachwa kwa kigezo cha umri na kukosa vigezo. Kuripoti tar 25 hadi 30 mwezi huu wa sita na nje ya hapo hupokelewi. Ingawa kuna jamaa zangu wengi wameachwa na mimi pia nikiwepo pamoja na kuwa na sifa zote.

Pole bwana.... Jipe moyo utapata tu.
 
Majina yalikuwepo ila wengi pia wameachwa kwa kigezo cha umri na kukosa vigezo. Kuripoti tar 25 hadi 30 mwezi huu wa sita na nje ya hapo hupokelewi. Ingawa kuna jamaa zangu wengi wameachwa na mimi pia nikiwepo pamoja na kuwa na sifa zote.

Tunaomba utueleze ktk kigezo cha umri wamechukua wenye umri usiozidi upi?
 
Kwasasa wameleta mchakato mpya wa kuwapata aina nyingine ya waalimu, mwisho wa maombi ni 10/7/ hivyo uenda wakimaliza hili zoezi ndipo watatoa majibu ya jumla.
 
Mbona mm nishaajiriwa lakini jina limetokea tena kwenye awamu ya pili?,watakua hawako makini
 
ndio, halafu kuna mtu nilisoma naye wametoa jina mara mbili, tamisemi hawako makini.

haina shida kama aliripoti mara ya kwanza na umwambie asijaribu kuripoti tena huko maana atakua na mafaili mawili na itakula kwake
 
Majina yalikuwepo ila wengi pia wameachwa kwa kigezo cha umri na kukosa vigezo. Kuripoti tar 25 hadi 30 mwezi huu wa sita na nje ya hapo hupokelewi. Ingawa kuna jamaa zangu wengi wameachwa na mimi pia nikiwepo pamoja na kuwa na sifa zote.

Pole mkuu
 
Kwani serikali kuajiri kwao mwishi ni miaka?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Majina yalikuwepo ila wengi pia wameachwa kwa kigezo cha umri na kukosa vigezo. Kuripoti tar 25 hadi 30 mwezi huu wa sita na nje ya hapo hupokelewi. Ingawa kuna jamaa zangu wengi wameachwa na mimi pia nikiwepo pamoja na kuwa na sifa zote.

Leo yanafunguka
 
Kwasasa wameleta mchakato mpya wa kuwapata aina nyingine ya waalimu, mwisho wa maombi ni 10/7/ hivyo uenda wakimaliza hili zoezi ndipo watatoa majibu ya jumla.

Mkuu Tunaomba Ufafanue Vizuri Huo Mchako Ukoje? Ili Ambao Hawajapata Ajira Waelewe Vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…