Ajira mpya za walimu hizooo!

nard

Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
28
Reaction score
28
visit website ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi
 
kweli bongo life ni tight.ajira za kwenda kufundisha shuke za msingi watu wanazishangilia hivi. nawatakia kial la kheri wale wote waliopata
 
kweli bongo life ni tight.ajira za kwenda kufundisha shuke za msingi watu wanazishangilia hivi. nawatakia kial la kheri wale wote waliopata

Maliza chuo mwanangu halafu uje kitaa uone shughuli yake wala usipate shida sana
 
Ndugu zangu simu yangu ndogo! Nimeshindwa kucheki! Kwa aliesoma hat heading ya watu wa degree inasemaje hiyo title? Ili njue naenda lini! Wapi!
 
Ndugu zangu simu yangu ndogo! Nimeshindwa kucheki! Kwa aliesoma hat heading ya watu wa degree inasemaje hiyo title? Ili njue naenda lini! Wapi!

ni pm jina lako nikutafutie kama vipi majian yapo zaidi ya elfu kumi ni kazi sana kuyahamishia yote hapa ila ngoja nijaribu ..usipost jina lako hapa kama unataka li pm
 
Cmu yangu inatumia operamini 4.4, imeshindwa, ila nataka kufahamu wanasemaje?
 
AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHULE ZA
SEKONDARI WENYE ELIMU YA STASHAHADA
MWAKA 2011/12
Kwa waombaji wote walioomba nafasi za kazi / ajira ya
Ualimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ambao
majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimu
na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI,
Wanatakiwa kuripoti tarehe 01 Februari 2012 kwenye Ofisi
za Wakurugenzi wa Halmashauri husika kwa ajili ya
kupangiwa Vituo vya kazi. Kila mwalimu anatakiwa kwenda
kwenye Halmashauri alikopangwa, kwa sababu HAKUNA
MABADILIKO YATAKAYOFANYWA. Ambaye hataripoti
ifikapo tarehe 14 Februari 2012 atapoteza nafasi hiyo.
Na. JINA LA KWANZA JINSI MASOMO ANUANI CHUO MKOA HALMASHAURI
1 M MAZENGO M HIST/KISW
BOX 379 KISEDETI
DODOMA BUNDA SHINYANGA BARIADI
2 AARON CHRISTOPHER M COMM/BK S.L.P 34252,DSM SHINYANGA KIGOMA KIBONDO
3
ABAINOMUGISHA
AYUBU M KE BOX 1 BUNDA BUNDA MWANZA GEITA
4 ABAS ISMAIL M HIST/KISW BOX 1901 TABORA BUNDA TABORA TABORA(M)
5 ABAS E BIZOZA M GM
BOX 6767,
MOROGORO MOROGORO RUVUMA MBINGA
6
ABASI HUSSENI
MSAFIRI M AGR/BIO S.L.P 11 KONDOA MONDULI ARUSHA ARUSHA(M)
7 ABBAKARI M HOSSENI M HIST/KISW BOX 60, SAME KOROGWE SINGIDA IRAMBA
8 ABBAS ISSA M HIST/GEO BOX 60068, DSM MOROGORO KIGOMA KIGOMA(M)
9 ABBY P MWANSEPE M KE BOX 2230 MBEYA TUKUYU RUKWA SUMBAWANGA(M)
10 ABDALA ABUBAKARI M HK
BOX 11 KONDOADODOMA
MPWAPWA DODOMA KONDOA
11 ABDALAH JUMA M ENG/GEO BOX 179, MUSOMA BUTIMBA MARA RORYA
12 ABDALAH I. MCHANA M HIST/KISW " DAR-UL TANGA LUSHOTO
13 ABDALAH M MWAJA M HIST/KISW BOX 319002, DSM KOROGWE DSM KINONDONI
14 ABDALLA HAMISI M HIST/GEO
C/O P. DAMSON, BOX
35091, DSM MOROGORO MWANZA MWANZA JIJI
15 ABDALLAH ABDALLAH M MATH/GEO BOX 47, RUANGWA KOROGWE IRINGA IRINGA(M)
16 ABDALLAH MIKIDADI M HIST/GEO BOX 3045, DSM MOROGORO KILIMANJARO MOSHI(V)
AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI WENYE
ELIMU YA STASHAHADA MWAKA 2011/12
1

wakuu ni ngumu sana kukopi majian na kuya pest hapa ..mweney ujuzi zaidi anaweza akajaribu
 
mimi ni mwalimu by professional kwa hiyo usipate shida

Mkuu,Orodha ya majina ni ya mfuatano wa alfabet na yameishia herufi E namba 1489. sisi wa kuanzia herufi F -Z tunayapataje?msaada mkuu.
 
mimi ni mwalimu by professional kwa hiyo usipate shida

Mkuu,Orodha ya majina ni ya mfuatano wa alfabet na yameishia herufi E namba 1489. sisi wa kuanzia herufi F -Z tunayapataje?msaada mkuu.
 
kweli bongo life ni tight.ajira za kwenda kufundisha shuke za msingi watu wanazishangilia hivi. nawatakia kial la kheri wale wote waliopata

Hata mbuyu ulianza kama mchicha, usitabeze. The Late Mwalimu, Makamba Sr, Mulugo, Mrs 6, Mkoba, Dr Magufuli etc to mention bt the few, nadhani walitokea huko. Cha msingi walimu, kuwa na malengo, chapa kazi, kabili changamoto na changabaridi, usiruhusu MAZINGIRA yakutawale bali yatawale wewe, na simamia kule unapopataka ufike. MSIJISAHAU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…