Ajira mpya za walimu lini jaman?

Serikali imesema kwamba haita ajiri walimu wapya maana wliopo watosha kabisa.Na kwa sasa serikali inashughulia madai ya walimu waliopo kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…