Ajira mpya za walimu

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
156
Jamani mimi mwalimu ndo nimetoka chuo nasubiri ajira ila kitaa kumechosha mbaya. Mwenye tetesi juu ya lini ajira zitatangazwa na wizara ya elimu jamani anijuze.
 
SAHAU:
pesa haina serikali had june.
 
:A S-confused1:BE PATIENT THINK MWEZI WA PILI 2014
 
Hadi waalimu wanatafuta kazi..!
Fundisha TUIshen kijana
 
Jamani mimi mwalimu ndo nimetoka chuo nasubiri ajira ila kitaa kumechosha mbaya. Mwenye tetesi juu ya lini ajira zitatangazwa na wizara ya elimu jamani anijuze.

Tetesi ni mwezi wa pili....
 
duh....! Hili nalo ni tatzo kwa wengi.....
 
Hadi tunasahau mbinu za kufundishia. Miezi 8 nyumbani si haba!
 
Huu ni wakati wa kilimo na majembe yameshuka bei siyo lazima ushike chaki

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…