M Masili New Member Joined Jan 12, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Apr 26, 2015 #1 Walimu pending again, je uongo huu kwa maslahi ya nani?
Distinction JF-Expert Member Joined Sep 20, 2014 Posts 745 Reaction score 395 Apr 26, 2015 #3 siku hiz mtoto mdogo tu adanganyiki- ndosembuse kutudanganya watu wazima... hawa masisiem nchi imewashnda jaman afu saiz ndo wanataka watubane tushndwe pakulalamikia et mswaada wa Makosa ya mtandao. walimu karibun pale juu tupige kura za kutosha.
siku hiz mtoto mdogo tu adanganyiki- ndosembuse kutudanganya watu wazima... hawa masisiem nchi imewashnda jaman afu saiz ndo wanataka watubane tushndwe pakulalamikia et mswaada wa Makosa ya mtandao. walimu karibun pale juu tupige kura za kutosha.