Ajira mwalimu wa primary

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
4,896
Reaction score
1,862
Awe msichana
Awe na certificate au diploma
Awe tayari kufanya kazi mkoa wa morogoro vijijiji
mshahara si chini ya laki 2 na nusu.

nb: shule ni mpya bado ipo kwenye majengo ya muda.

mimi ni mjumbe tu, nitakuonganisha kwa wahusika.

nipm nitakupa contact za wahusika

changamkia fursa binti.
 
walimu wanakufa maskini kama mshahara ndio huo
 
washenzi kabisa mshahara sio chini ya laki mbili na nusu.........hiyo laki mbili na.nusu unaona kubwa sana? asante serikali kwa kutupeleka jkt kwa ajili.ya.kupiga makofi wajinga wajinga kama.hawa!
 
Jaman msitukane, mimi ni mjumbe tu. Pia msidharau kwa kuwa jimeshapata pm zaidi ya 4 hadi sasa, na nimeshawaunganisha kwa wahusika
 
Jaman msitukane, mimi ni mjumbe tu. Pia msidharau kwa kuwa jimeshapata pm zaidi ya 4 hadi sasa, na nimeshawaunganisha kwa wahusika

achana nao kaka si unajua mwenye shibe hamjui mwenye njaaa?? Wana sahau wapo wamao lipwa chini ya laki mbili kwa mwezi na bado wanaendesha maisha,cheti na mshahara ni vitu viwili tofauti ingawa watanzania wengi wanahusianisha cheti na mshahara wakati cheti ni karatasi tu unalikalia nyumbani na wewe unateseka na maaisha kwa kiburi cha cheti ulicho nacho.
KAZI NI KAZI mradi mkono uende kinywani.. Unaweza kuwa mfanya biashara na kwa mwezi faida tuuu baada ya makato yooote yaani umeme,frem,mlizi n.k(net profit)ya biashara yako isifike hiyo laki mbili lakini ukajikuta nawewe unanyanyu kinywa kudharau hiyo pesa. Kwa mimi mtoto wa maskini kwa kuanzia itanitosha hasa ukizingatia wapo wanao lipwa chini ya hiyo na wanaishi.

vijana tupunguze starehe zisizo na ulazima tutaona budget zinapangika hata kwa mshahara wa 200,000\ lakini kwa starehe full time kwakweli ni ngumu,
NI HAYO TU YANGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…