Mr. Mangi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,514
- 768
Ndugu wana Jf, naomben msaada kwa yeyote mwenye uelewa juu ya coz ya hortculture. Maana mi mechaguliwa kujiunga nayo ila mzee wangu hataki akidai kwamba kupata field ni vigumu, haina ajira pia ktk kujiajiri ni ngumu hasa kwa tz. Hivyo naomba msaada wa mawazo yako ili niweze kuafikiana naye ama kumshawishi niende kujiunga. Asante