Tegemea kuwa Bank Teller CRDB. Vilele unaweza lima mboga za majani.
kiukweli Field za Horticulture zipo nyingi sana kwan kuna makampuni sasa yanayojishughulisha na horticultural crops katika mikoa kama Dsm, Iringa, Dodoma, Mbeya, vituo vya magereza, Arusha, Morogoro, Mwanza ht Kigoma nahic mwaka huu tawi litafunguliwa. Hvyo usiogope we kasome tena hongera sana kuchaguliwa kozi hiyo