Ajira na Mikopo

Makini Buz

Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
21
Reaction score
9
Habari wanaJF.
Naamini humu kuna wataalamu wa sheria. Mimi ni mwajiriwa nina zaidi ya miaka miwili kwenye ajira,sasa hapo nilipo nimekumbwa na matatizo kifamilia, nimeona bora niache kazi nikasimamie shughuli zangu binafsi kijijini. Lakini nina mkopo ambao makato yake haijaisha. Je naweza kuruhusiwa nikiandika notice ya kuacha kazi? au nitumie utaratibu upi?
Ahsanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…