Ajira ni sekta ya kitumwa sana tunayoipenda wavivu wa kufikiri

Jiger

Member
Joined
Jun 8, 2023
Posts
26
Reaction score
12
Watu wengi miongoni mwetu akili yetu tulipo ishia ni tukimaliza masomo basi swala la kwanza ni kuajiliwa ndio kitu tunacho waza na pia elimu yetu inafundishwa kwa ajili ya kuajiliwa somo la ujasiliamali limekuwa la nyuma kabisa kwenye mashule yetu na ni somo ambolo mtu analisoma kipindi yupo chuo kiwe cha veta, nacte au chuo kikuu TCU ila shule za msingi somo ili limetu fichwa bila ya msingi siku zote kama ujamuanda mwanafunzi kwenye sekta ya kujishugulisha basi utasubiri kufeli kwa mwanafunzi uyo leo hii elimu ya ujasiliamali ina fundishwa na jeshi JKT na kule jeshini ina fundishwa ki mazoezi na kinguvu sana tumeacha somo ili kufundishwa msingi na likawekewa kwenye masomo yetu ili litujenge uwezo mzuri kuanda vijana tuendeleze nchi yetu.

Leo hii swala la kujiajili kwenye jamii yetu linaoneka kama mtu amefeli maisha na mtu aliokosa elimu na ana vyetu vya kuomba kazi ila swala la kazi kwenye nchi yetu lina oneka kama mtu kasoma na ana akili sana na mtu muelevo sana ndio maana mishaala yetu imekuwa ya siri mtu ana hiali akutajie ata siri za familia na akupe kitu akipendacho ili asikutajir mshaala wake kwa mwezi ni aibu.

Atukumbuki ukiajili una upana mkubwa wa kuaongeza kipato chako cha siku wiki mwezi kulingana na uwekezaji wako na utashi wako na biashara zako ila ajila akuna kujiongezea kipatoa na ukisikia mshaala umepanda basi 20, 000-50, 000 na kupanda tena miaka 5 ijayo ndio maana wastaafu wengi wakimaliza muda anapewa pesa zake azipoteza kwa muda mchache kwakuwa azitoshi maana anakuwa na mzigo mkubwa kwnza kama ajaje ga atajenga au kumalza nyumba na kama amejenga basi atakuwa na pupa ya kuazisha mradi ambao aujui mwsho wa siku anapoteza pesa anakuwa na mawazo na kupelekea kifo.

Mtu akisha maliza muda wake kazini anakuwa mzee wa makamu ila anakosa anaweza kuanza kuugua na kupotesa pesa yake hosp au kuanza kujengea jee pesa ya kustafia sio pesa ya kuanzisha mladi.

Vija wengi tuna tamaa ya kutaka maisha ya fasta na kinacho kipata kifo au kupotea kabisa kwenye ulimwengu kuishi.

Tukumbuke kuwa. Pesa ya kujiajili ni ndogo ila inatengeneza yenyewe kuwa kubwa na hii ina letwa na subra. Na pia pesa ya kustafia sio pesa ya kuanzisha mladi ni pesa ya kuendeleza mladi. Mshahara wako wa 800,000 kwa mwezi kwa mwaka 9, 600, 000.

Kwa mshaala wako uo apo bado ujalipa kodi, maji, umeme chakula cha familia NK kwaio bado utakuwa mtumwa na kuwa mvivu wa kufikilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi miongoni mwetu akili yetu tulipo ishia ni tukimaliza masomo basi swala la kwanza ni kuajiliwa ndio kitu tunacho waza na pia elimu yetu inafundishwa kwa ajili ya kuajiliwa somo la ujasiliamali limekuwa la nyuma kabisa kwenye mashule yetu na ni somo ambolo mtu analisoma kipindi yupo chuo kiwe cha veta, nacte au chuo kikuu TCU ila shule za msingi somo ili limetu fichwa bila ya msingi siku zote kama ujamuanda mwanafunzi kwenye sekta ya kujishugulisha basi utasubiri kufeli kwa mwanafunzi uyo leo hii elimu ya ujasiliamali ina fundishwa na jeshi JKT na kule jeshini ina fundishwa ki mazoezi na kinguvu sana tumeacha somo ili kufundishwa msingi na likawekewa kwenye masomo yetu ili litujenge uwezo mzuri kuanda vijana tuendeleze nchi yetu.
Leo hii swala la kujiajili kwenye jamii yetu linaoneka kama mtu amefeli maisha na mtu aliokosa elimu na ana vyetu vya kuomba kazi ila swala la kazi kwenye nchi yetu lina oneka kama mtu kasoma na ana akili sana na mtu muelevo sana ndio maana mishaala yetu imekuwa ya siri mtu ana hiali akutajie ata siri za familia na akupe kitu akipendacho ili asikutajir mshaala wake kwa mwezi ni aibu
Atukumbuki ukiajili una upana mkubwa wa kuaongeza kipato chako cha siku wiki mwezi kulingana na uwekezaji wako na utashi wako na biashara zako ila ajila akuna kujiongezea kipatoa na ukisikia mshaala umepanda basi 20, 000-50, 000 na kupanda tena miaka 5 ijayo ndio maan wasitafu wengi wakimaliza muda anapewa pesa zake azipoteza kwa muda mchache kwakuwa azitoshi maana anakuwa na mzigo mkubwa kwnza kama ajaje ga atajenga au kumalza nyumba na kama amejenga basi atakuwa na pupa ya kuazisha mradi ambao aujui mwsho wa siku anapoteza pesa anakuwa na mawazo na kupelekea kifo .
Mtu akisha maliza muda wake kazini anakuwa mzee wa makamu ila anakosa anaweza kuanza kuugua na kupotesa pesa yake hosp au kuanza kujengea jee pesa ya kustafia sio pesa ya kuanzisha mladi.
Vija wengi tuna tamaa ya kutaka maisha ya fasta na kinacho kipata kifo au kupotea kabisa kwenye ulimwengu kuishi.
Tukumbuke kuwa. Pesa ya kujiajili ni ndogo ila inatengeneza yenyewe kuwa kubwa na hii ina letwa na subra.
Na pia pesa ya kustafia sio pesa ya kuanzisha mladi ni pesa ya kuendeleza mladi.
Mshaala wako wa 800,000 kwa mwezi kwa mwaka 9, 600, 000.

KAKA NI ''KUAJIRIWA'' ( RA RE RI RO RU) SIO ''KUAJILIWA''
 
Kaka zingatia kanuni za uandishi
 
Mkuu mada yako ni nzuri ila sasa uandishi ndo pasua kichwa.

kuna watu wengine ikiwemo mimi ukishaanza kuchanganya L na R nadharau mada nzima,

uliwezaje kuvuka primary school ukashindwa kutofautisha L na R.
 
Back
Top Bottom