Ajira ni za kujuana mliochagua ualimu mmechagua fungu lilo jema.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Wadogo zangu huku kitaa hali ni ngumu ma graduate wamejaa huku ajira hakuna ukijidanganya kusomea kozi za arts tofauti na ualimu utasugua benchi kwenu mpaka uwakinai kama unajua wewe kwenu ndo kikwete nenda ualimu mbwembwe zingine za nini?NIMEMALIZA.
 
safi mkuu Molembe nadhan ushauri umefika kwa wahusika
 
Last edited by a moderator:
safi mkuu Molembe nadhan ushauri umefika kwa wahusika

Kuna vijana wanadanganyana sana mtaani na kuwacheka wenzao wanaoenda kusomea ualimu, huku mtaani kugumu mno.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…