samahani naomba mnisaidie kunijibu swali langu.ivi kupata kaz pccb unatakiwa uwe umesoma corse gani chuo na ni masomo gani ya elimu ya A-leval uwe umesoma na mshahara wao ni kiasi gani na kama wewe ni mwalimu unataka ubadilishe fani masters unatakiwa usome corse gani tafadhari naomba majibu wana.ila tadhari matusi na kashfa havitakiwi
pccb huwa wanachagua fani yoyote ile wanayoiitaji katika uchunguzi wao...na sasa hivi taaluma ya forensic science inahitajika sana kwa sababu uhaba na mabadiliko ya kisayansi....
pccb huwa wanachagua fani yoyote ile wanayoiitaji katika uchunguzi wao...na sasa hivi taaluma ya forensic science inahitajika sana kwa sababu uhaba na mabadiliko ya kisayansi....
Soma Accounti, Law, Hrm, Masscom,IT, Procurement and other Marketable course usisome zile course mradi tu uonekane una degree kama Peforming art n.k, Sekondari yoyote ile ila muhimu uwe na cheti cha Std 7.