Acha uongo. Huenda una ongelea zamani Kabla ya maboresho ya mfumo. Zamani mfumo ulikuwa mzr tu.Ajira portal haina tatizo hata chembe. Ukiona neno application failed usiishambulie ajira portal kwa hoja zisizo na miguu bali chunguza attached qualifications zako zinaendana na advertising qualifications? Unakuta mtu ana Degree ya afya ila anaomba kazi inayohitaji ICT services, it will fail. Unaomba kazi ya degree demand angali ww una diploma ya hiyo professional required it will fail. Fanya applications on basis of level ya education yako ndugu. Ukiwa na degree na ukaomba kazi inayohitaji diploma it's going to fail
Hivi tume bado wanaofisi Dar? Iko palepale Maktaba?Pole sana kwa changamoto hiyo.Ila kwa taarifa kuhusu hiyo changamoto ni wengi wamepata hasa wa chuo cha UDOM,UDSM,Bagamoyo na kwingineko.Ila uzuri ni kwamba wahusika wa vyuo hivyo wamesharipoti PSRS.Kwa hiyo tuendelee kusubiri walishughulikie.Ama kama upo DSm au Dodoma waweeza kwenda na Kuwaeleza pia kwa msisitizo au waweza piga Ile namba ya malalamiko.Ila ni kwamba washapokea taarifa hizo.
Kivukoni kuleHivi tume bado wanaofisi Dar? Iko palepale Maktaba?
Brother you need to have a fact and proof bro..ila una fact tu kama system ilivyo too optmistic..binafsi ninabachelor of edtcation in policy planning and management from udom..kuanzia assistannt tutor warden admission officer mpaka examination officer zinanigome and i have all the qualification they need from gpa's to axademic qualification ila inagoma..help desk doesnt help..naendelea kuuza juice za miwa tu mtaani maana naona its impossible ku apply sijui kupata itakuajeAjira portal haina tatizo hata chembe. Ukiona neno application failed usiishambulie ajira portal kwa hoja zisizo na miguu bali chunguza attached qualifications zako zinaendana na advertising qualifications? Unakuta mtu ana Degree ya afya ila anaomba kazi inayohitaji ICT services, it will fail. Unaomba kazi ya degree demand angali ww una diploma ya hiyo professional required it will fail. Fanya applications on basis of level ya education yako ndugu. Ukiwa na degree na ukaomba kazi inayohitaji diploma it's going to fail