Ajira portal change of email adress

Ajira portal change of email adress

cpb

Senior Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
156
Reaction score
87
Wapendwa kama kuna aliewahi pata Hili tataizo anisaidie alivosaidiwa

Email yangu niliotumia kujiunga na ajira portal iko dis abled means siwez kuitumia je kuna uwezekana ajira portal wakanibadilishia taarifa zangu kwenda email nyingine kama kuna aliewahi pata shida kama hii anisaidie alivosaidiwa nimeongea nao wananipiga tarehe tu barua nmeshandika lakin hajanijibu week sasa na mda unaisha msaada nifanyeje
 
Karibu Kesho Jumapili Kwenye Kanisa Langu Tuombe Pamoja Kuhusu Jambo Lako, Tafadhali Sadaka Yako Ndiyo Muhimu Sana

Kuna baadhi ya matangazo ya ajira yanahitaji utume maombi kwa Mfumo wa ajira portal website .swali langu ni kwamba .je kama haujajisajiri na huo utaratibu unaweza kuomba kwa kutumia program (ajira portal)ya mtu mwingine ?
 
Mhh jamani kwa anaejua anisaidie sio mda wa kunikejeli
 
Kuna baadhi ya matangazo ya ajira yanahitaji utume maombi kwa Mfumo wa ajira portal website .swali langu ni kwamba .je kama haujajisajiri na huo utaratibu unaweza kuomba kwa kutumia program (ajira portal)ya mtu mwingine ?
Jisajili kwa details zako na si mwingine ndo uombe kazi ..
utakosa kuchaguliwa kwa interview maana mwenye vyeti na jina la account ni watu wawili tofauti .
 
Jisajili kwa details zako na si mwingine ndo uombe kazi ..
utakosa kuchaguliwa kwa interview maana mwenye vyeti na jina la account ni watu wawili tofauti .
Kweli kabisa usemayo
 
Back
Top Bottom