Jisajili kwa details zako na si mwingine ndo uombe kazi ..Kuna baadhi ya matangazo ya ajira yanahitaji utume maombi kwa Mfumo wa ajira portal website .swali langu ni kwamba .je kama haujajisajiri na huo utaratibu unaweza kuomba kwa kutumia program (ajira portal)ya mtu mwingine ?
👏👏Jisajili kwa details zako na si mwingine ndo uombe kazi ..
utakosa kuchaguliwa kwa interview maana mwenye vyeti na jina la account ni watu wawili tofauti .
Kweli kabisa usemayoJisajili kwa details zako na si mwingine ndo uombe kazi ..
utakosa kuchaguliwa kwa interview maana mwenye vyeti na jina la account ni watu wawili tofauti .