Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Bila shaka wewe ni mgeni wa ajira portal, wakiandika qualifications wanataka na wewe uwe nayo kama wao walivoandika na sio vinginevyo.
Mkuu unaweza kuwa nayo na ikagoma kama kuna aliejaribu wa human resource aje atupe mrejesho!
 
katibu@ajira.go.tz.. watumie ujumbe kuwaeleza shida zako.., ikiwezekana uwatukane kabxaa.. maana wanachokifanya kula mshahara tu.
Hapo lazima ujumbe uwafikie
 
waomba ajira baada ya kupata vyeti akili zilikomea hapo ndio tatizo...

walishindwa kwenda mbali na kuangalia kiundani zaidi kuhusu alicho somea na mfumo wa ajira za serikali zilivyo...

ajira portal wao wana ajiri kwa kufata taratibu kwa kila kada, na miongozo ipo...

ninacho weza kusema tafuteni miongozo...

leo mwenye taaluma ya sheria ana uwanja mpana wa kuwa afisa ktk kada kibao, mf. ardhi, Hr, na hiyo uliyo iweka wewe., na zingine kibao achilia mbali ktk taaluma yake ya sheria... sasa ukija kusema labda mtu wa PA naye aje kuwa afisa ardhi ni haiwezekani yani muundo wa kuajiri ktk ajira usika una goma...

pateni kujielimisha na sio kupiga kelele
 
Mimi nimejaribu apply nafasi ya Research Assistant na course nilosoma ni mojawapo ya walizo mention lakini bado naambiwa Application Failed.
Halafu unataka kusema nini?
 
Oya wadau, halafu hizi barua tunazo upload ajira portal ni lazima tuzitype au tunaweza kuandika hata kwa mkono tu ?
 
Mimi nimejaribu apply nafasi ya Research Assistant na course nilosoma ni mojawapo ya walizo mention lakini bado naambiwa Application Failed.
Halafu unataka kusema nini?
sitaki kusema chochote...
 
We pimbi tu Kama pimbi wengine.. wale ni wapuuzi. hamna wanachokifanya pale. Kuna kozi zingine ambazo NACTE wanazitambua lakini wao kwenye list hawajaweka. Kwa mfano Kuna vyuo vinatoa Higher Diploma na mtu anapewa cheti kabisa ili wao hawalijui na hawataki kilijua. Bado wanang'ang'ania kwenye Advanced Diploma ambayo kiuhalisia ishafutwa tokea 2010. Hii inaonesha jinsi gani Hawa jamaa wanafanya kazi ambayo hawailewi na hawataki kuijua. Afu pia hawashirikian na hawataki kushirikiana na Taasisi zingine za kielimu Kama vile NACTE na TCU. Hili jipu kabxa na matumizi mabaya ya Mali za umma


katibu@ajira.go.tz..
watumieni ujumbe kuwaeleza shida zenu.., ikiwezekana muwasimange au uwatukane kabxaa.. maana wanachokifanya kula mshahara tu.
Hapo lazima ujumbe uwafikie
na huwaga wanajibu. Kama kitu kinatatulika maana email lazima waifungue na ni ya boss mkuu pale. achaneni na wale wapuuzi ambao hawataki kupokea simu, wanajihisi wao wlishatoboa maisha.

kulalamika huku hakutasaidia za tutajibiwa kiwaki Kama hv huyu "Nzi wa kijani' ambayo anahisi kashatoboa au ndo customer care wa pale.

Nasistiza tena tumie hii email
mtapata matokeo chanya hata kama hatakujibu
katibu@ajira.go.tz
 
Mimi nimejaribu apply nafasi ya Research Assistant na course nilosoma ni mojawapo ya walizo mention lakini bado naambiwa Application Failed.
Halafu unataka kusema nini?
nenda uka update academic Qualifications itakubali, jaribu kufanya kama una edit afu unasave. au Kama ishindikana add tena academic Qualifications hii iliyoiweka...
 
Kuwatukana hapana.

Kwani Msg huwa wanajibu?
Wanajibu ndio kwenye email lakini
Kwa matatizo ambayo yanahitaji utatuzi. but inaweza chukua siku kadhaa. Hata malalamiko pia watayaona hata Kama hawatayajibu Ila yatawafikia na watayasoma na wanaweza yafanyia kazi kimyakimya na yanaenda moja kwa moja kwa karibu mkuu, ambayo ndo boss pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…