Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Urefu na upana wa io picha inabid uwe 300*300 kama ikiendelea kukataa labda ina ukubwa tofauti na unaohitajika kuweka picha kwenye portal
 
Habari zenu ndg,
Naomba kufahamishwa namna au wapi nitaweka leseni na cheri cha veta(driving course) kwenye ajira portal maana kuna prof na academy. Vyote ni professional au academic ?
Asante I
 

Attachments

  • Screenshot_20221102-201337.png
    58 KB · Views: 45
Habari zenu ndg,
Naomba kufahamishwa namna au wapi nitaweka leseni na cheri cha veta(driving course) kwenye ajira portal maana kuna prof na academy. Vyote ni professional au academic ?
Asante I

Kwenye Professional Qualifications weka Driving Licence.

Kwenye Academic Qualifications weka hiyo Basic Driving Certificate. Period.
 
Hapa nazan sio mfumo chuo husika ndio kinahusika ,utakuta wanapendelea waliosoma chuo chake tu cha IRDP Kwa kozi hizo maana najua chuo husika kitaenda kuwaambia wapi tunawataka ...hyo ilitokea pia kwa watu waliosoma chuo cha Ardhi fani za mipango miji nasikia wamekatwa wote walioomba IRDP wameita waliosoma hapo kwao tu ndio wanawataka basi sio wa chuo kingine
 
Dah so sad aisee
 
Ninapata hii message; "Academic Level already exists"

Na nikienda kwenye edit option haibadili original copy kwa ile certified copy

Msaada!
 
Unatumia App au uko online/chrome etc

Uliwahi kuweka vyeti ambavyo sio certified?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…