Ajira portal Utumishi unaweza kudelete sehemu yoyote ulipokosea lakini kipengele cha education qualifications No!

Big Eagle

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2020
Posts
592
Reaction score
625
Shida nini utumishi mbona sehemu nyingine delete ipo isipokua kwenye academic.

Ukikosea kidogo tu unapoteza sifa za kuomba kazi uipendayo badilisheni mtu awe huru.
 
Hii scenario iliwahi kunitokea mpaka nikaenda ofisini kwao ndiyo wakanisaidia
 
Mkuu kama ulifanikiwa niambie nami niende maana huu utaratibu wao unasumbua saaana yaani mpaka unajiona hujasomaa.... yaan natam niupload na receipt za malipo ya ada ili waakikishe nimesoma kweli
 
receipt za ada teinaaaa....ila wanazingua kinyama aniiii hawajuii kama kuna kukosea ku-upload
 
Back
Top Bottom