Ko shida n ukubwa aucompress hizo attachment ziwe na chini ya 1mb
Verification certificate ni kwaajiri ya yule applicant aliesoma nje ya nchi kwahiyo anapaswa kuverify vyeti vyake kwenye mamlaka husika mfano TCU, NECTA, NACTE, NACTVET etc....ni tofauti na kucertify ambapo mwanasheria ndio hucertify km ulivyo attach juu yake. Kwahiyo km umesoma nchini hiyo haikuhusu achana nayo.Naomba msaada kwenye kujaza hii ajira portal. Kila kitu nimeshaweka, pamoja na vyeti vya masomo ambavyo vimethibitishwa na mwanasheria.
Lakini mwishoni pale chini kwenye Academic qualifications, ninakutana na ujumbe unasema "You have not attached any Verification Certificate", nikigusa + hiyo sehemu inanirudisha juu kwenye ku Add Qualifications.
Niki Add, zile sifa zinaingia kule kule juu ambako tayari zingine zipo na hakuna namna ya kuzipunguza.
Hii "Verification Certification" wanayoitaka, au inayoulizwa na system yao inajazwa vipi? Msaada tafadhali kwa ambaye amekutana na hii changamoto na akafanikisha.
ShukranVerification certificate ni kwaajiri ya yule applicant aliesoma nje ya nchi kwahiyo anapaswa kuverify vyeti vyake kwenye mamlaka husika mfano TCU, NECTA, NACTE, NACTVET etc....ni tofauti na kucertify ambapo mwanasheria ndio hucertify km ulivyo attach juu yake. Kwahiyo km umesoma nchini hiyo haikuhusu achana nayo.