BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
Habari wana JF, kumekuwa na malalamiko ya watu wengi sana kuhusu system ya ajira portal na hata pale unapokuwa na changamoto fulani na kuhitaji msaada kutoka kwao kupitia "help desk" numbers imekuwa changamoto kuwapata.
Utapiga simu muda wote zinatumika, labda wanakuwa very busy kuwahudumia watanzania wengine lakini hata pale unapopata nafasi ya kuwapata wakiwa "hawapo busy" basi simu huita tu bila majibu.
As an academician I once applied for a certain position at the University of Dodoma, the deadline of the job application as per the pdf ilikuwa 5th July 2022, other friends of mine wameapply Saturday wengine jana...but to our suprise tukiingia kucheki "application status" inaonesha there is no application.
Bad enough hata hizo vacancy za UDOM hazionekani kabisa kwenye system angalau zingine huwa zinaoneshwa kuwa zipo "closed". Tumejaribu kuwatafuta hao help desk maybe watupe mrejesho wowote ila ndio tumeshindwa kuwapata.
Shida yetu kubwa sio hiyo kazi bali "response" ya chombo husika ni muhimu sana. Haya malalamiko kila siku kuhusu wao basi Serikali iyaone na kuyafanyia kazi kwani wapo vijana wengi mtaani ambao wanaweza kufanya kazi kwenye hilo "dawati" kwa ufanisi mkubwa kuliko hao "waliozoea " hiyo nafasi na hawafanyi lolote.
Asante.

Kwanza kabisa naipongeza Serikali ya Jamhuri ya muungano Tanzania kuamua ajira zote ziombwe kupitia mfumo mmoja wa kidigital wa AjiraPortal.
Changamoto kubwa kwa baadhi ya waombaji ajira kupitia mfumo huu ni namna ya kuutumia mfumo huo, hali hii inapelekea waombaji kuhitaji msaada zaidi kwa watoa huduma kwa wateja.
Kero inakuja pale umepata changamoto na unahitaji msaada kwao, unawatafuta na kuwaelekeza shida zako lakini wanakuwa SIO MSAADA na Muda mwingine hawajibu emails kabisa.
Nafasi za ajira zinatolewa ambazo tunasifa nazo kabisa lakini tunashindwa kuziomba hadi deadline inafika tunazikosa. Hatuna pakusaidiwa kwani Huduma kwa Wateja sio MSAADA.
Naomba Serikali isikie kilio chetu, maana tumechoka kukaa mtaani. Waweke namna nzuri kwa sisi tunaopitia changamoto tuweze kusaidiwa.
INAUMA SANA NAFASI INATOLEWA NA UNASIFA YA KUIOMBA LAKINI UNAISHIA KUIANGALIA TU KWASABABU HAUWEZI KUFANYA CHOCHOTE.