kwa hyo yamepelekwa saiv?A kasema waliosapua majina hayakupelekwa Tamisemi
Ndio pamoja na awamu ya pili
Baadhi ya maneno yaliyonukuliwa na baadhi ya walimu ambao hawakuona majina yao kwenye orodha ya majina ya ajira awamu ya kwanza, majina yao yatatoka kuanziaa wiki la pili la mwezi wa tano,, mkurugenzi mkuu TAMISEMI alisema hayo mjini Dodoma tarehe 04/05/2015.
Kama ni muhusika tulia subiri ajira yako kwani mkurugenzi huyo alisisitiza hivyo.
Picha hizo hapo chini kudhibitisha tarifa hizi.
kwa hyo yamepelekwa saiv?
na kwa nn wengine waliosapua wameajiliwa?
Na mm ni mmoja kati ya hao tulioenda TAMISEMI tar 4/5/2015.Mkurugenzi alisema kuwa ajira zitatoka kuanzia tar 15/5/2015.Lakini mpaka sasa hatujui chochote kwa wenye taarifa ama uhakika na mambo haya tunaomba atujuze tafadhari.
Njoo Pm
Mkuu wapeni extend up to 21 ambayo ni wiki la tatu iliwadhihirishe uongo wao
Kama wanatupiga siasa hivi hawasomeki ila kama hadi tarehe 23 watakuwa hawajatoa ni vema tuorganize twende TAMISEMI j3 ya Tar 25 ndugu zangu tujitahidi tufanye hivyo,habari hii tusambaze na kwa wengine wanaohusika kwamba j3 tukutane tena Dodoma TAMISEMI ili tupate hatima ya swala hili my Tel No 0757338829.
private messagewhat is pm?
itakuwa njema zaid...miaka hii kudanganyana ni upuuzi!!!,japo awamu ya pili mwka jana ilitoka tar 23 na 30 june wakareport shule zilipofungua july labda na mwaka huu ndivyo hvyo?lkn km ipo ipo tu
Yeah Chubio its true nimeipata from TAMISEMI
hata hvyo kwani kuna mtu alikataa kwenda jkt km ni sifa za ziada bali ni mipango yao tu hawakuwa na uwezo wa kupeleka wote kwa wakati mmoja,juu ya hili la ajira sababu wanazotoa wao hazijitoshelezi kabisaaJambo hili wanatakiwa waweke wazi mapema,nashangaa sn watu wanazo sifa hadi za ziada(jkt)wameachwa!!
hata hvyo kwani kuna mtu alikataa kwenda jkt km ni sifa za ziada bali ni mipango yao tu hawakuwa na uwezo wa kupeleka wote kwa wakati mmoja,juu ya hili la ajira sababu wanazotoa wao hazijitoshelezi kabisaa