Ajira: Ubalozi wa UK, Receptionist. Mshahara Tsh 1.5M+ kwa Mwezi

Umeona eenhh??!!!, Bongo maisha yetu tuna ungaunga sana.
 

Dah ubarikiwe sanaa[emoji3064]
 
Tena hio 1.2m ya daktari hua inashuka mpk 900k take-home.
 
Mwisho wa kuapply tarehe 30 June 2022 halafu kuanza kazi tarehe 1 December 2021, hapo imekaaje wandugu
 
Naweka alama hapa. Nitarudi baada ya saa mbili nikiwa nimeshafanya maamuzi ya kuondoa shaka na hofu na kuapply.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…