Ajira Ughaibuni

Ajira Ughaibuni

witacha matiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
722
Reaction score
237
Habari Vijana wa JF,

Leo nianze kwa kutoa ushauri kidogo kwa wale wote wanaotaka kwenda kufanya kazi Ughaibuni hasa Saudia, Oman, Qatar etc.

i) Tujiandae na nafasi ambazo tunahitaji (you)

ii) Unapoona post kama hii please hit the questions / content, avoid inquisitive mindset. "achana na stori uliza maswali ya msingi"

iii) Avoid procrastination, be defined from the beginning

iv) Don't be humble, be clever (Usiombe msaada hakikisha una uwezo)

v) Make sure you meet the requirements needed for a job (hakikisha una vitu muhimu ili uweze kusafiri kama vile;- current passport etc.

LEO NATOA NAFASI KWA VIJANA SITA (6)
A} WAKIKE (4)- Vijana wa kike wanahitajika

SIFA
a) Awe na uwezo wa kufanya kazi za nyumbani
b) Mchapa kazi mzuri
c) Awe anaweza kuongea kidogo Lugha ya Kiarabu ( sio lazima sana)
d) Awe na umri wa miaka kuanzia 20-40
e) Awe na afya njema (medical check-up is required)

B} WA KIUME- Vijana wa kiume wanahitajika

SIFA
a) Awe na umri kuanzia miaka 23-40
b) Awe na uzoefu wa kazi za ULINZI
c) Awe na afya njema

NB:
Waombaji wote wataunganishwa na mawakala katika ofisi zao zilizopo Kimara na Kibamba-Dar es Salaam. Kumbuka kazi hii haina malipo wakala atalipwa na mwajiri hivyo kwa mazingira yoyote usije kutoa pesa kama sehem ya malipo ya nafasi hii.

maelezo mengine na viambatanisho na mambo mengine kama mshahara utaelekezwa ukifika ofisini ( hatua ya mwisho kabla hujasafiri kutakuwa na zoezi la kupitia na kusoma mkataba wako).

Fika ofisini kwa mahojiano zaidi na utapewa fomu ya kujaza kabla ya 22.09.2022

Piga namba 0783-075191 kwa msaada zaidi (muda wa kazi ni saa 2:30 Asubuhi- 11:00 Jioni.

ALL THE BEST
 
Ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni kijana wa kiume nimesoma diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business management, natafuta ajira nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote
 
Back
Top Bottom