Siachi hela
Senior Member
- Jun 17, 2022
- 136
- 248
Sio mpaka uajiriwe ndo ulitumikie taifa! Sema njaa kali unataka pa kuipozea! Fanya biashara hudumia watu ongeza mzunguko wa hela kwa huduma, kuzalisha, n.k utakuwa unalitumikia taifa piaWaziri wa tamisemi juzi alitangaza kuwa wako katika hatua za mwisho kuajiri watendaji wa kata zaidi ya 500.
Naomba Kwa anaefahamu mchakato wa kuwapata hao watumishi ukoje?
Maana sikuwahi kuona nafasi hizi zikitangazwa kama AJIRA zingine.
Nishauri kama kijana ninaetamani, nami sikumoja nilitumikie taifa langu kwa nafasi kama hiyo, je nifanye nini?
Wanaweka watu wao mzeeWaziri wa tamisemi juzi alitangaza kuwa wako katika hatua za mwisho kuajiri watendaji wa kata zaidi ya 500.
Naomba Kwa anaefahamu mchakato wa kuwapata hao watumishi ukoje?
Maana sikuwahi kuona nafasi hizi zikitangazwa kama AJIRA zingine.
Nishauri kama kijana ninaetamani, nami sikumoja nilitumikie taifa langu kwa nafasi kama hiyo, je nifanye nini?
Ebu acheni kumkatisha tamaa bana jamii forum kila mtu anajikiuta ana ajira nzuri tu msidhani kila anae comment ni fala.Sio mpaka uajiriwe ndo ulitumikie taifa! Sema njaa kali unataka pa kuipozea! Fanya biashara hudumia watu ongeza mzunguko wa hela kwa huduma, kuzalisha, n.k utakuwa unalitumikia taifa pia
Kweli mkuu, barikiwa kwa kunielewaEbu acheni kumkatisha tamaa bana jamii forum kila mtu anajikiuta ana ajira nzuri tu msidhani kila anae comment ni fala.
MmmmhAjira portal week yaa nne naziona tu na zinaelekea deadline
SUBIRI ZITANGAZWEWaziri wa tamisemi juzi alitangaza kuwa wako katika hatua za mwisho kuajiri watendaji wa kata zaidi ya 500.