Impactinglife
Member
- Apr 15, 2019
- 41
- 99
Utumishi (PSRS) wamemaliza usaili KADA ya UALIMU Jana jumatatu Tarehe 24. Ni vyema wakaachia majina ya waliopata AJIRA (PLACEMENT) ya masomo yote Kwa mkupuo kuliko kuwaweka Vijana waendelee Kila mara kushinda mtandaoni kuangalia PDF haya yaliwezekana TAMISEMI Kwanini wao wasifanye hivyo.
Pia Mashule yanawasubiri walimu Kwa hamu waendelee kuchapa kazi maana muda unakimbia na isitoshe hizi ajira ni za Mwaka Jana 2024.
Pia Mashule yanawasubiri walimu Kwa hamu waendelee kuchapa kazi maana muda unakimbia na isitoshe hizi ajira ni za Mwaka Jana 2024.