Impactinglife
Member
- Apr 15, 2019
- 41
- 99
Taratibu zipi ndugu mkuu wa kitengo cha PSRS.Walimu tulizeni kimuhemuhe.
Placement haziachiwi kama maembe yanavyotingishwa juu ya mti.
Kuna tararibu zake na ni lazima zifuatwe.
Jifunze kuandika vizuriUnawaxa wao wasivowaxa, wangewaxa hivo ingekua poa sana.
xama hubadirkJifunze kuandika vizuri
Wanamalizana na madai ya NETOWameacha kutoa majina wanasubiri nini?
Du mbona unatus hivyoWalimu mna mhemko sana mumekuwa kama nyie ndio wasomi pekee kwenye hili Taifa
Basi unajiona una akili basi... Matako wewe soma vizuri post na acha shobo!Kwahy unashinda kuangalia pdf mpaka unashindwa kufanya ishu zingine, kama ulifeli oral je?
Waalimu bhana π
Inasikitisha sana mkuu πBasi unajiona una akili basi... Matako wewe soma vizuri post na acha shobo!