Ajira ya Elon Musk aliyopewa na Trump katika serikali yake je ni funzo katika nchi yetu kuwaajili akina Mo au Bakhresa ?

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
Je tunajifunza nini hapa ktk serikali zetu kuajili matajiri ?

Ikumbukwe matajiri wa nchi zetu wengi huwa ni indirect involves in political funding japo kuna means of blackmailing n.k na kuna mafungu wanatoa, mana kwa nchi kama zetu raia wa sisemu akiona Mo anasupport CHADEMA kesho humkuti kanunua energy drink yake, vivyo hivyo anaweza chana hata jezi ya Simba.
=====================
Nina furaha kutangaza kuwa Elon Musk, akishirikiana na Mzalendo wa Marekani Vivek Ramaswamy, ataongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (“DOGE”). Wawili hawa waajabu watafungua njia kwa Utawala wangu kuvunja Urasimu wa Serikali, kupunguza kanuni zisizo za lazima, kupunguza matumizi ya kupindukia, na kuunda upya Mashirika ya Serikali - yote haya yakiwa muhimu kwa Harakati ya “Save America.” “Hili litapeleka mshtuko mkubwa katika mfumo huu, na yeyote anayehusika na upotevu wa Serikali, ambao ni wengi sana!” alisema Bw. Musk.

Inawezekana kuwa, “Mradi wa Manhattan” wa wakati wetu. Wanasiasa wa Republican wamekuwa wakitamani malengo ya “DOGE” kwa muda mrefu. Ili kuendesha mabadiliko ya aina hii, Idara ya Ufanisi wa Serikali itatoa ushauri na mwongozo kutoka nje ya Serikali, na itashirikiana na Ikulu ya White House na Ofisi ya Usimamizi na Bajeti kuendesha mabadiliko makubwa ya kimuundo, na kuunda mtazamo wa ujasiriamali katika Serikali ambao haujawahi kuonekana hapo awali.

Ninatarajia Elon na Vivek kufanya mabadiliko katika Urasimu wa Serikali kwa mtazamo wa ufanisi na, wakati huohuo, kuboresha maisha ya Wamarekani wote. Muhimu, tutaondoa upotevu mkubwa na udanganyifu unaopatikana katika Matumizi ya Serikali ya Dola Trilioni 6.5 kila mwaka. Watafanya kazi pamoja ili kuikomboa Uchumi wetu, na kuifanya Serikali ya Marekani iwajibike kwa “SISI WANANCHI.” Kazi yao itakamilika ifikapo Julai 4, 2026 - Serikali ndogo, yenye ufanisi zaidi na urasimu mdogo, itakuwa zawadi kamili kwa Marekani katika kumbukumbu ya Miaka 250 ya Azimio la Uhuru. Nina imani watafanikiwa!

GcOfcj2WEAAKp7Q.jpeg
 
View attachment 3150866
Wenzetu wanaangalia una nini kichwani, sisi tunaangalia je unakipenda chama? Je unampenda mama?
 
Huyo ndo rais,ana maono ya mbele , mtu tajiri duniani anafanya kaz serikali
 
tatizo nchi za kiafrika viongoz wanaona mawazo mbadala ni kama umewatukana, so mfanyabiashara akiwa karibu na upinzani au anasapoti upinzani kwao hiyo ni threat. atafunguliwa kesi na kufilisiwa afrika ndio inaongoza kwa wafanyabiashara wake kuishi uhamishoni kukimbia nchi.. so linalotokea marekani haliwezeakmi kwa nchi za Africa. ndio maana unaona marekani hadi rais alie madarakani analia kuibiwa kura ( rejea alichokuwa anafanya trump 2020). hii inakuonyesha kuwa Marekani uraisi ni tasisi na sio mtu. na wanajua kutofautisha kati ya utashi wa mtu na tasisi. Afrika utashi wa raisi ndio unabeba taswira ya tasisi.. anageuka mungu mtu. hakosolewi...na ndio maana anaweza hata kubadili katiba akabaki madarakani ...ila marekani wanaomzunguka raisi wanaitumikia tasisi. ukiona US mtu kafata maaigzo yenye ukakasi ya raisi au kiongoz. basi ujue na yeye ni patner in crime hafanyi hivyo kwasababu ameamrishwa na rais ila atafanya sababu na yeye anafaidika na hayo maaagizo..

ndio maana unaona sasa hivi trump anaweka ma best wake maana aliona alikosea mara ya kwanza alipoweka watu nje ya inner circle yake matokeo yake wakawa wanamchalange na wanamkosoa hadharani na wengine wanajiondoa.

marekani rais alie madarakani ukifika uchaguzi he is just like any other candidate l.. hakuna uchawa wa kijinga huko..
 
Magufuli angekuwa hai basi leo hii kenya na tz lingekua taifa moja
 
Kwenye issues za wafanyabiashara na ki support upinzani, tatizo sio Africa, fatilia nchi zote za Kikominist duniani, China, North Korea, Cuba, Russia etc usije jaribu ku support upinzani, is either UFE or ufirisiwe. So shida sio Africa, shida ni Ujamaa. Mbona Kenya hawana mambo ya kipumbavu kama Msumbiji
 
CCM mana yake Chama Cha Masikini, toka lini masikini akataka tajiri kwenye chama chake.
 
Ingawa Urais ni kazi, lakini wenzetu wameweka Taifa mbele.
Huku kwetu unaona kabisa wote ni majambazi wakubwa, kilichojaa vichwani mwao ni kubaki madarakani na kuendelea kuiba tu.
Kama sa100 wenu amenipa bandari kirahisi sana. Wanaume mkashindwa kumdhibiti.
 
Sasa kazi zake zitakuwa zipi au kapewa access ya kuingia ikulu tu?
 
Yaani MO na Bakhresa unawafananisha na Elon Musk kweli, are you serious ?​
Hao ndio kina elon musk wabongo mkuu,
Kikubwa uelewe tajiri namba 1 duniani ni drug dealer hao kina musk ni kwasabu ya public.
Sijafananisha elon na kina mo nimezungumzia matajiri kwa hapa bongo utawaacha hao niliowataja ?
 
Elon Musk ni zaidi ya tajiri. He is a genius, a philanthropist and a visionary.

Musk fedha ni nyenzo tu za kutimizia malengo yake ya kubadilisha dunia na maisha ya mwanadamu, hasahasa Whites kwa ujumla

Leo hii, Musk bila hata kuwa na fedha anaweza kufanya makubwa ya kubadilisha maisha ya mabilioni ya wanadamu hapa duniani.

Hao uliowataja na kuwahusudu kwao fedha, utajiri na umaarufu ndiyo malengo makubwa kwao. Kiufupi hii ndiyo akili ya watz wengi, upate hela nyingi, na uwe maarufu.

Wenzetu kama Musk, Rockefeller, Vanderbilt, JP Morgan, Rhodes, Rothschild n.k walitafuta utajiri ili waweze kutimiza malengo yao ambayo wote tunashuhudia jinsi yalivyobadili hii dunia.

MTZ unatafuta fedha ili ugonge mademu na kununua Range Rover. Pumbavu kabisa.​
 
Umemwekezea vizuri sana Musk
Ila kwanini umemaliza hivyo kwa watz 😄😄😄
 
Back
Top Bottom