Ajira ya kujitolea dawasa

Ajira ya kujitolea dawasa

Sufian Jr

Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
17
Reaction score
25
Wakuu Habari,

Zenu nilibahatika kuhitimu course ya water supply and sanitation engineering pale chuo cha maji ubungo kwa ngazi ya NTA 4.

Changamoto ambayo nakutana nayo katika hivi vituo vya dawasa Ata nafasi ya kupatia uzoefu nakosa namaanisha kujitolea ngumu ila wapo form 4 leavers dawasa Wana mikataba kabisa mwenye kujua taratibu wapi naweza anzia anipe muongozo.Ahsante
 
Back
Top Bottom