Ajira ya kuuza samaki

Joined
Apr 4, 2019
Posts
81
Reaction score
90
Anatafutwa kijana/dada wa kuuza samaki wabichi aina ya sangara kutoka mwanza. Kila siku atatakiwa kutembeza vipande 25 vya samaki. Malipo ni 4,000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni 112,000. Chakula na maradhi anaweza kukaa kwangu.

PM kwa maelezo zaidi
 
Wewe unatafuta mtu wakukuibia huo mtaji wako 4000 kwa siku hela ndogo sana kwa jiji la Dar
 
Anatafutwa kijana/dada wa kuuza samaki wabichi aina ya sangara kutoka mwanza. Kila siku atatakiwa kutembeza vipande 25 vya samaki. Malipo ni 4,000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni 112,000. Chakula na maradhi anaweza kukaa kwangu.

PM kwa maelezo zaidi
Ni maradhi au malazi
 
Umekuja muda muafaka nakuja pm tubadilishane changamoto za hii biashara
 
Angalia kipato unachopata kwenye hivyo vipande sh ngap na angalia je mtu anaweza kuuza kwako zaidi ya elfu hamsini na yy akakubali akaxunguka kutwa mzima umpe iyo elfu na ela akiuza anakuwa nazo yy mpaka jion akuleteee [emoji23][emoji23][emoji23] fikiria mara mbili mm nakushauri tu na sio kwa ubaya ila kama ukimpata mpe Samaki [emoji1787][emoji849]
Ulitaka nimlipe ngapi? Au unafikiri hao samaki naenda kuwaokota mwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…