Kwa habari zisizo rasmi sana ni kwamba waliambiwa kuwa ajira zinaanza kutoka mwezi wa pili lakini aliye fail atapewa muda kusafisha cheti ila ajira atapata. Na kwa kuthitisha nina mdogo wangu aliyekuwa kwenye mkumbo huo ameitwa kuriport tarehe 1, February wilaya ya kwimba mkoa wa mwanza