Ajira za Afya na elimu

Ajira za Afya na elimu

Mwaka wanaoajiri 2024/25. Unaanza wa saba
Unaanza mwezi wa 7 na unaishia mwezi wa 6 mwakani kwahiyo Wazir wa Tamisemi aliposema kwamba wataajiri mwaka ujao wa fedha maana yake hata mwakani mwezi wa 4,5, ama 6 bado upo ndani ya mwaka wa bajeti hivyo mwaka huu hakuna ajira za Tamisemi mpaka mwakani.
 
Una kichwa kibovu mwaka unaomaanishwa hapo ni mwaka wa fedha
 
Sasa hapo kuingia kazini ni mwakani
Unakariri sana ajira wanaweza kutangaza muda wowote ndani ya mwaka wa fedha 2024/25 shida wabongo ubongo wako umekariri mpaka kuwa mpaka mwezi wa saba ndo watu wanaanza kazi
 
Serikali ipo bize na mambo mengine. Majobless tuendelee kujiairi.
 
Back
Top Bottom