Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 940
- 401
Siasa..Mwaka huu wamechelewesha sana na bajet ndio hio.
Mwaka wanaoajiri 2024/25. Unaanza wa sabaMwaka huu wamechelewesha sana na bajet ndio hio.
Unaanza mwezi wa 7 na unaishia mwezi wa 6 mwakani kwahiyo Wazir wa Tamisemi aliposema kwamba wataajiri mwaka ujao wa fedha maana yake hata mwakani mwezi wa 4,5, ama 6 bado upo ndani ya mwaka wa bajeti hivyo mwaka huu hakuna ajira za Tamisemi mpaka mwakani.Mwaka wanaoajiri 2024/25. Unaanza wa saba
Una kichwa kibovu mwaka unaomaanishwa hapo ni mwaka wa fedhaUnaanza mwezi wa 7 na unaishia mwezi wa 6 mwakani kwahiyo Wazir wa Tamisemi aliposema kwamba wataajiri mwaka ujao wa fedha maana yake hata mwakani mwezi wa 4,5, ama 6 bado upo ndani ya mwaka wa bajeti hivyo mwaka huu hakuna ajira za Tamisemi mpaka mwakani.
Sasa hapo kuingia kazini ni mwakaniMwaka wanaoajiri 2024/25. Unaanza wa saba
Kutangazwa ajira Hadi majina kutoka ya waliochaguliwa Huwa inachukuwa mwezi mmoja tuSasa hapo kuingia kazini ni mwakani
Unakariri sana ajira wanaweza kutangaza muda wowote ndani ya mwaka wa fedha 2024/25 shida wabongo ubongo wako umekariri mpaka kuwa mpaka mwezi wa saba ndo watu wanaanza kaziSasa hapo kuingia kazini ni mwakani
Jiheshimu .Una kichwa kibovu mwaka unaomaanishwa hapo ni mwaka wa fedha
Masharti gani hayo?Zitatoka Hila mashariti yake magumu sana
Kumbe ndo maana watu wanacheza washinde viza aiseeSerikali ipo bize na mambo mengine. Majobless tuendelee kujiairi.