Ajira za aliyesoma Bachelor of Science in Chemistry zinapatikanaje?

Ajira za aliyesoma Bachelor of Science in Chemistry zinapatikanaje?

Viwanda vya chakula & vinywaji , cosmetics, pia mara nyingi hutumika kama quality control & Quality assurance. Pia baadhi yaviwanda au wauzaji wa chemical huwaajiri kwa lengo vyeti vyao vitumike kuingiza chemical kutoka nje ya nchi.

Wengine wataongezea.
 
Back
Top Bottom